Natafuta kazi ya ulinzi

Natafuta kazi ya ulinzi

tsaqwa

Member
Joined
May 11, 2015
Posts
50
Reaction score
5
Habari ya Jumamosi wanaJF

Mimi ni kijana wa umri wa miaka 25, elimu yangu ni kidato cha sita (2012). Natafuta kazi ya ulinzi katika kampuni ya watu binafsi au mashirika ya umma, nipo Karatu Arusha, kwa yeyote anayefahamu naomba anisaidie.

NB; Pia kuna mtu amenielekeza kampuni flani inaitwa KK SECURITY but hana taarifa sahihi kwa mwenye ufahamu na kampuni hiyo pia anisaidie.

Natanguliza shukrani

Vigezo vikuu vya kupata ajira KK SECURITY ni kama ifuatavyo:
  • Academic qualifications. Uwe na cheti cha elimu ya sekondari kuanzia kidato cha nne na kuendelea.
  • Uwezo mzuri wa kuzungumza lugha ya kiiingereza, ujue na law kidogo.
  • Urefu wako uwe wa kutosha, kuna kipimo pale, hakuna longo longo wala rushwa katika hilo.
  • Uje na barua mbili za wadhamini pamoja na ya kwako mwenyewe ya kuomba kazi

Other qualifications are added advantage: Driving, computer literate e.t.c

HQ ziko Dar ila ajira huweza tolewa Mwanza na Dar vile vile.

Safiri uende mpaka Dar es salaam, japo kuna usumbufu sana pale.

HONGERA KWANZA KWA KUTOBAGUA KAZI.

Kama una ndugu dar nenda ofisi zao ndipo wanaajiri frequently ilg huko arusha sijui....ofisi zipo kwa mwinyi ila unashuka warioba au nyerere, tena kwa wewe f6 ni mara moja jamaa hela ni nzuri takehome kama 230000.

Ukipata lindo zuri utapata maslah zaidi au unaweza pata conection zingne ukiwa unalinda bz unakutana na mabosi mbalimbali
 
HONGERA KWANZA KWA KUTOBAGUA KAZI....kama una ndugu dar nenda ofisi zao ndipo wanaajiri frequently ilg huko arusha sijui....ofisi zipo kwa mwinyi ila unashuka warioba au nyerere, tena kwa wewe f6 ni mara moja jamaa hela ni nzuri takehome kama 230000...ukipata lindo zuri utapata maslah zaidi au unaweza pata conection zingne ukiwa unalinda bz unakutana na mabosi mbalimbali

Ushauri wako ni mzuri,na pia sikiliza clouds radio nilisikia tangazo la kazi io pale,kila la kheri
 
Vigezo vikuu vya kupata ajira KK SECURITY ni kama ifuatavyo:
  • Academic qualifications. Uwe na cheti cha elimu ya sekondari kuanzia kidato cha nne na kuendelea.
  • Uwezo mzuri wa kuzungumza lugha ya kiiingereza, ujue na law kidogo.
  • Urefu wako uwe wa kutosha, kuna kipimo pale, hakuna longo longo wala rushwa katika hilo.
  • Uje na barua mbili za wadhamini pamoja na ya kwako mwenyewe ya kuomba kazi

Other qualifications are added advantage: Driving, computer literate e.t.c

HQ ziko Dar ila ajira huweza tolewa Mwanza na Dar vile vile.

Safiri uende mpaka Dar es salaam, japo kuna usumbufu sana pale.
 
Excel mbona hawana usumbufu? Ukienda tu mara moja unapata interview. Wanachotaka ni wadhamini 2 ambao wanaandika barua na kuileta physically. Wanaajiri kila leo
 
Last edited by a moderator:
King'asti,
Kwanza nikusalimu, habari za siku nyingi?

Bila shaka u mzima wa afya tele!

Okay, usumbufu ambao KK wanaweza kukuletea ni ule ambao wewe mwenyewe unausababisha!
Kwa mfano, kwenye CV yako umeandika uliwahi kufanya kazi G4S lakini huna ushahidi, hapo lazima kinuke tu hata kama umefaulu vizuri written interview..
Watakurudisha mpaka ukalete uthibitisho kuwa ulitoka salama.
Hapa ndo vijana tujifunze kuandika CV tunazoweza kuzitetea..
 
Last edited by a moderator:
Habari zangu ni njema, namshukuru Mungu.
Ahaa, hapo nimekuelewa. Nilishawahi kumpeleka binti hapo na akapewa kazi mara moja wakati hata simjui mtu hapo. Na yupo hadi leo, keshaingiza ndugu zake watatu. Im so proud of her kwa kweli.

Hayo mambo ya kudanganya kwenye cv sasa sio kosa lao bwana.

Yeah ni kweli si kosa lao madam!
Ndo hapo nimewaasa watafutaji wenzangu wawe makini sana..
Halafu, huyo binti hajawahi kukudokeza abc's za salary scales zao?
Natamani sana nijue hilo.
 
Mshahara nadhani ni laki unusu wa kuanzia. Ukiweka na overtime inafika laki mbili unusu. Hiyo ni clean money, ukiacha tips etc. Three years down the line nadhani anafikisha laki 4 almost. Usisahau ni std 7 'graduate'

std 7 what?
Kuanzia mwaka gani wameanza kuruhusu std 7?
 
Vigezo vikuu vya kupata ajira KK SECURITY ni kama ifuatavyo:
  • Academici qualifications. Uwe na cheti cha elimu ya sekondari kuanzia kidato cha nne na kuendelea.
  • Uwezo mzuri wa kuzungumza lugha ya kiiingereza, ujue na law kidogo.
  • Urefu wako uwe wa kutosha, kuna kipimo pale, hakuna longo longo wala rushwa katika hilo.
  • Uje na barua mbili za wadhamini pamoja na ya kwako mwenyewe ya kuomba kazi
Other qualifications are added advantage: Driving, computer literate e.t.c

HQ ziko Dar ila ajira huweza tolewa Mwanza na Dar vile vile.
Safiri uende mpaka Dar es salaam, japo kuna usumbufu sana pale.

si kweli wewe ni mwongo...leaving yako ya 6 tu tena hawataki mambo ya majibu ya necta then jkt sio lazima wala sijui kujua computer hzo ni aded advantage....
 
Hivi wewe umekula maharage ya wapi?

Ulichokiongea unakijua au umekurupuka na swaumu?
 
Si bora ukajitolee jkt huko ili upate kazi moja ya taasisi za ulinzi na usalama utimize lengo.
 
usiongee usichokijua mm nliwah kufanya nao be4 sijapata kazi gvt. So nawajua effectively na hadi saivi nna mawasiliann nao....
 
Si bora ukajitolee jkt huko ili upate kazi moja ya taasisi za ulinzi na usalama utimize lengo.

wanaoenda jkt ni wangapi na wanaoajiriwa ni wangapi so anaweza aende huko apoteze 2years na mateso mengi mwishowe aambulie cheti tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom