Natafuta kazi ya ukemia wa dhahabu (gold processing)

Natafuta kazi ya ukemia wa dhahabu (gold processing)

socha

Member
Joined
Nov 25, 2015
Posts
47
Reaction score
24
Habari,

Natafuta kazi ya ukemia wa dhahabu (gold processing)

Kwa mwenye connection ama kazi naomba anisaidie wakuu maisha magumu bila kazi ndugu zangu tusaidiane

Jinsia yangu ni +ke hata kazi nyingine naweza kufanya, nipo Geita
 
Unaweza kwenda Chunya ?
Huko kuna machimbo ya dhahabu naona wakemia huwa wanahitajika.
 
Back
Top Bottom