Natafuta kazi ya Uhasibu.

Natafuta kazi ya Uhasibu.

D TARGET

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2013
Posts
223
Reaction score
98
halo wadau wa JF, mi nilimaliza CBE advance diploma of accounting, nina Gpa ya lower second, nimefanya application kadhaa lkn bado sijapata kazi, nifanyaje ili nipate kazi? Kama application nafanya lkn ndio hvyo, ukizingatia mtaani maisha yanazidi kukaba.
 
Pole sana ndugu yangu, tumai katika Mungu huku ukiongeza juhudi katika utafutaji.. I hope one day utafanikiwa ndugu, usichoke wala usikate tamaa
 
nashukuru kaka, ila sipati picha ya kinachofuata, maana hii khali inazidi kunizalilisha na Elimu yangu ya kikoloni!
 
dogo pole komaa utapata, ungekubali kipindi kile tunakuambia ukasomee ualimu, leo hii ungekuwa na kazi yakonzuri ya ualimu, si umeona wenzio wameajiriwa juzi tu...
 
dogo pole komaa utapata, ungekubali kipindi kile tunakuambia ukasomee ualimu, leo hii ungekuwa na kazi yakonzuri ya ualimu, si umeona wenzio wameajiriwa juzi tu...

Tatizo siyo mi kuto soma ualimu, tatizo langu ni kukosa Kazi. Walimu wenyewe wanavibarua kazi wameacha, si unaona watoto wanavyofail.
 
I was born talented but Tanzania ruined me
 
Tatizo siyo mi kuto soma ualimu, tatizo langu ni kukosa Kazi. Walimu wenyewe wanavibarua kazi wameacha, si unaona watoto wanavyofail.

wife wangu kasema nikuambie uachane na mambo ya waalimu na uendelee na tatizo lako la kutafuta ajira. Ajira ikushinde, ya waalimu utayawezea wapi?
 
wife wangu kasema nikuambie uachane na mambo ya waalimu na uendelee na tatizo lako la kutafuta ajira. Ajira ikushinde, ya waalimu utayawezea wapi?

Tatizo we unataka sifa kwa mkeo, haina shaka mi naendelea kusoma iwe unakebei au unashauri. Msalimie mkeo.
 
Hakuna tatizo lov sema nina wasiwasi na Jiwe linaloishi!
Mbona nipo humu muda tangu saa kumi na moja jioni? Ulikuwa wapi maana nimekutafuta sikuoni naona my dear!
am guda guda swr!
umeadimika sana nini tatizo!
 
Last edited by a moderator:
Hakuna tatizo lov sema nina wasiwasi na Jiwe linaloishi!
Mbona nipo humu muda tangu saa kumi na moja jioni? Ulikuwa wapi maana nimekutafuta sikuoni naona my dear!

pilika nyingi honey
ndio napumzika saa hizi!
jiwe hana shida bby nimempa zawadi yako akuletee!
 
Back
Top Bottom