Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,022
- 26,644
Ooh sawa mkuu nashukuru ....... broh OKW BOBAN SUNZUOngea na hasibu letu kuu la JF CPA OKW BOBAN SUNZU. Hutajuta! 😂🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
Njoo wasapu 0753466356Mawasiliano yangu ni: Email Address genesisleons379@gmail.com
Njoo wasapu 0753466356
Ok bossNjoo wasapu 0753466356
Upo wapiSalaaaam wana JamiiForums
Habari wakuu nina uhitaji wa kazi au nafasi ya uhasibu..
Bidhaa zilizoingia, zilizouzwa na zilizopo,
- Nimehitimu shahada ya bank na fedha kutoka IFM.. 2023
- Nimefanya intern ya uhasibu, kwa miezi nane kwenye kampuni ya madawa hapa dar es salaam, hivyo nina ujuzi angalau wa kihasibu kwenye kampuni.
- Kazi nilizokuwa nafanya ni :
- Kuandaa invoice za wateja na kuzituma tayari kwa malipo
- kuingiza voucher zinazohusika kwenye Accounting package ya Tally mfn payment voucher, sales voucher, contra voucher na receipt voucher
- Kupokea order na kuziruhusu kwa maelekezo niliyopokea kwa mkurugenzi wa kampuni.
- Kutuma ritani TRA pamoja na kushughulikia Mambo ya kikodi Kama Kodi ya zuio, na Kodi nyinginezo
- Kufanya bank reconciliation kwa kutumia taarifa za kibenki
- Kufanya kaguzi ya stocks,
- Kuandaa taarifa za matumizi yanayohitajika na kampuni kwa kila mwezi na pindi itakapohitajika, mfn Kodi, ada za ulinzi, fedha za kutuma mizigo kwa wateja, na gharama za uagizaji wa mizigo China.
- Kuomba TMDA IMPORT PERMIT ili kuruhusu mzigo uliopo bandarini uweze kutoka... Bidhaa ni madawa
- Kushughulikia taarifa za clearing, ikiwa kupata taarifa kutoka kwa clearing Agent, kupokea documents za clearing, kuandaa barua kwa ajili ya kurahisisha utolewaji wa mzigo bandarini
NIMEJIFUNZA NINI
Namna ya kuwasiliana na viongozi mfn Mkurugenzi, wateja, wafanyakazi wenzangu na hata nilipokuwa kwenye ofisi zingine.
- Utunzaji wa Muda.
- kujifunza zaidi nje ya kile nilichosomea au kufanyia kazi, Kuna wakati nilifanya kazi za sales (mauzo) na kuwa tayari kujifunza pindi itakapohitajika kufanya hivyo.
- Mawasiliano,
- Kufanya kazi kwa bidii kunaletwa na ushirikiano kazini, utunzaji wa Muda, kufuata maadili ya kazi, mawasiliano yanafanya unakuwa katika sehemu sahihi
Mawasiliano yangu ni: Email Address genesisleons379@gmail.com
Nipo dar es salaam kiongoziUpo wapi
Ok Kuna fursa ilihitaji mtu wa Moshi zaidiNipo dar es salaam kiongozi
Aaah Haina nouma kiongozi....... Shukrani piaOk Kuna fursa ilihitaji mtu wa Moshi zaidi
moshi sehemu ghani boss namim piah nauhitaji pia ni muhasibuOk Kuna fursa ilihitaji
mtu wa Moshi zaidi
moshi sehemu ghani boss namim piah nauhitaji pia ni
muhasib
moshi sehemu ghani boss namim piah nauhitaji pia ni muhasibu. nipo moshi mawasiliano ni 0788919204
naomba mawasiliano yako please!Ntampa muhitaji namba zako akucheki
Ncheki inboxnaomba mawasiliano yako please!
Wataona hii nimemsahau jina anaomba sana kazi ya uhasibu huku,Kuna fursa Anahitaji mwasibu Tarime jinsia ke
Bado unahitaji kazi?Salaaaam wana JamiiForums
Habari wakuu nina uhitaji wa kazi au nafasi ya uhasibu..
Bidhaa zilizoingia, zilizouzwa na zilizopo,
- Nimehitimu shahada ya bank na fedha kutoka IFM.. 2023
- Nimefanya intern ya uhasibu, kwa miezi nane kwenye kampuni ya madawa hapa dar es salaam, hivyo nina ujuzi angalau wa kihasibu kwenye kampuni.
- Kazi nilizokuwa nafanya ni :
- Kuandaa invoice za wateja na kuzituma tayari kwa malipo
- kuingiza voucher zinazohusika kwenye Accounting package ya Tally mfn payment voucher, sales voucher, contra voucher na receipt voucher
- Kupokea order na kuziruhusu kwa maelekezo niliyopokea kwa mkurugenzi wa kampuni.
- Kutuma ritani TRA pamoja na kushughulikia Mambo ya kikodi Kama Kodi ya zuio, na Kodi nyinginezo
- Kufanya bank reconciliation kwa kutumia taarifa za kibenki
- Kufanya kaguzi ya stocks,
- Kuandaa taarifa za matumizi yanayohitajika na kampuni kwa kila mwezi na pindi itakapohitajika, mfn Kodi, ada za ulinzi, fedha za kutuma mizigo kwa wateja, na gharama za uagizaji wa mizigo China.
- Kuomba TMDA IMPORT PERMIT ili kuruhusu mzigo uliopo bandarini uweze kutoka... Bidhaa ni madawa
- Kushughulikia taarifa za clearing, ikiwa kupata taarifa kutoka kwa clearing Agent, kupokea documents za clearing, kuandaa barua kwa ajili ya kurahisisha utolewaji wa mzigo bandarini
NIMEJIFUNZA NINI
Namna ya kuwasiliana na viongozi mfn Mkurugenzi, wateja, wafanyakazi wenzangu na hata nilipokuwa kwenye ofisi zingine.
- Utunzaji wa Muda.
- kujifunza zaidi nje ya kile nilichosomea au kufanyia kazi, Kuna wakati nilifanya kazi za sales (mauzo) na kuwa tayari kujifunza pindi itakapohitajika kufanya hivyo.
- Mawasiliano,
- Kufanya kazi kwa bidii kunaletwa na ushirikiano kazini, utunzaji wa Muda, kufuata maadili ya kazi, mawasiliano yanafanya unakuwa katika sehemu sahihi
Mawasiliano yangu ni: Email Address genesisleons379@gmail.com
Naam.. ndiyo bado ninauhitaji wa kazi mkuu .Bado unahitaji kazi?