Big5 Member Sep 25, 2014 34 14 Jun 17, 2017 #1 Ndugu zangu wapendwa, Natafuta kazi ya uhasibu ofisi yeyote hasa mkoa wa Arusha nipo tayari kuanza wakati wowote.
Ndugu zangu wapendwa, Natafuta kazi ya uhasibu ofisi yeyote hasa mkoa wa Arusha nipo tayari kuanza wakati wowote.
Big5 Member Sep 25, 2014 34 14 Jun 17, 2017 Thread starter #4 king of the North said: Cv yako Click to expand... Attachments CV Stella 2.docx 24 KB · Views: 95
Ftc Senior Member Apr 30, 2017 144 114 Jun 17, 2017 #6 Tanesco wametangaza sana nafasi mwezi huu ukuhona matangazo???
Big5 Member Sep 25, 2014 34 14 Jun 19, 2017 Thread starter #7 Ftc said: Tanesco wametangaza sana nafasi mwezi huu ukuhona matangazo??? Click to expand... Sikuona tangazo
Ftc said: Tanesco wametangaza sana nafasi mwezi huu ukuhona matangazo??? Click to expand... Sikuona tangazo
M maharage ya ukweni JF-Expert Member Aug 25, 2016 1,231 2,400 Jun 19, 2017 #8 Ftc said: Tanesco wametangaza sana nafasi mwezi huu ukuhona matangazo??? Click to expand... Hivi mwisho wa kutuma maombi kwazile kazi za Tanzania ni lini?
Ftc said: Tanesco wametangaza sana nafasi mwezi huu ukuhona matangazo??? Click to expand... Hivi mwisho wa kutuma maombi kwazile kazi za Tanzania ni lini?
M Mangungu JF-Expert Member Apr 22, 2012 2,392 3,017 Jun 19, 2017 #9 Big5 said: Ndugu zangu wapendwa, Natafuta kazi ya uhasibu ofisi yeyote hasa mkoa wa Arusha nipo tayari kuanza wakati wowote. Click to expand... Tanzania Investment Bank wametangaza nafasi kibao hebu jaribu huko! Usiseme kwamba lazima kazi iwe arusha tu! Pia unaweza piga hata sales cha msingi uweze kua na kipato tu
Big5 said: Ndugu zangu wapendwa, Natafuta kazi ya uhasibu ofisi yeyote hasa mkoa wa Arusha nipo tayari kuanza wakati wowote. Click to expand... Tanzania Investment Bank wametangaza nafasi kibao hebu jaribu huko! Usiseme kwamba lazima kazi iwe arusha tu! Pia unaweza piga hata sales cha msingi uweze kua na kipato tu
Mr. MTUI JF-Expert Member Feb 18, 2013 8,130 8,330 Jun 19, 2017 #10 Kwann kwenye profile umejiita big5 wakat unajina zuri tu lakike la Stella
Big5 Member Sep 25, 2014 34 14 Jun 19, 2017 Thread starter #11 MAWAZO UJENZI said: Tanzania Investment Bank wametangaza nafasi kibao hebu jaribu huko! Usiseme kwamba lazima kazi iwe arusha tu! Pia unaweza piga hata sales cha msingi uweze kua na kipato tu Click to expand... Asante sana mkuu, napendelea Arusha kwani ninayo familia na bado changa
MAWAZO UJENZI said: Tanzania Investment Bank wametangaza nafasi kibao hebu jaribu huko! Usiseme kwamba lazima kazi iwe arusha tu! Pia unaweza piga hata sales cha msingi uweze kua na kipato tu Click to expand... Asante sana mkuu, napendelea Arusha kwani ninayo familia na bado changa
Nickson Mjuni Member Jul 10, 2016 47 25 Jun 21, 2017 #13 La Vista14 said: Una CPA Click to expand... hapana bt nimejisajili na board na last month mefanya mitihani ya board
La Vista14 said: Una CPA Click to expand... hapana bt nimejisajili na board na last month mefanya mitihani ya board