Hivi mwisho wa kutuma maombi kwazile kazi za Tanzania ni lini?Tanesco wametangaza sana nafasi mwezi huu ukuhona matangazo???
Tanzania Investment Bank wametangaza nafasi kibao hebu jaribu huko! Usiseme kwamba lazima kazi iwe arusha tu!Ndugu zangu wapendwa, Natafuta kazi ya uhasibu ofisi yeyote hasa mkoa wa Arusha nipo tayari kuanza wakati wowote.
hapana bt nimejisajili na board na last month mefanya mitihani ya boardUna CPA