Natafuta kazi ya uhasibu

Natafuta kazi ya uhasibu nimesoma (beekeeping )
Unatafutaje kazi ya Uhasibu halafu ktk maelezo yako unaonesha umesoma Beekeeping (Ufugaji Nyuki), kweli upo serious ndugu?
Hata hivyo, suala la kutafuta kazi ni sawa na kuuza CV yako. Lazima ueleze kiundani kidogo wewe ni nani, unaishi wapi, Elimu yako ni kiwango gani, uzoefu wako katika kazi n.k.

Sasa kwa maelezo mafupi kama yako unategemea kupata kazi kirahisi kweli? Hujui watafuta kazi kama wewe ni wengi zaidi? Kwa uandishi kama huo utegemee kuchukuliwa wewe na wenzio waachwe? Ukikosa kazi kwa miaka mitano baadae unakimbia kwa Waganga na kusema Umerogwa kwakuwa hupati kazi. Kweli ya Dunia ni mengi..! Mungu akujalie wepesi .!!
 
Wewe mwenyewe ulishawai shika shi ngapi kabla ya kushika za wenzako maana hapa TZ kila MTU muhasibu
 
aliyekwambia kazi inataftwaga jamiiforum nani...mjinga wewe...nenda kalime huko nikwiriri utaitumia elimu yako huko tena nyie ndo wezi wakubwa na vijielimu vyenu vya kuungaunga mkishapata vimishahara vyenu mnatuchukuli wake zetu
Mbona unaonekana una hasira mkuu? Kuna watu walishawahi kuleta mrejesho humu kua wamepata ajira zao kupitia jf.
Sasa kumuona jamaa atakuchukulia mkeo na matusi ya hivyo mbona siyo uungwana huu?
 
Tatizo hajui hata maana ya( beekeeping )jombaa hchi n chuo kipo tabora m nimesoma pale nina diploma ya beekeeping but nimeajiriwa misitu m ctak misitu nataka fan yang (beekeeping )
 
Inaonekana elemu zenu ndogo uliokoment matus ...... na amabao hamjaelewa hata n kaz gan m natafuta .....ila nashukuru mlioelewa
 
dc5c46d7d6b73a9be304ba575b19e71d.jpg
 
aliyekwambia kazi inataftwaga jamiiforum nani...mjinga wewe...nenda kalime huko nikwiriri utaitumia elimu yako huko tena nyie ndo wezi wakubwa na vijielimu vyenu vya kuungaunga mkishapata vimishahara vyenu mnatuchukuli wake zetu
e201b5a02d14aec015eec630825590e0.jpg

Mbn lakutoka mkuu kuna shida ipii
 
Back
Top Bottom