Mkuu jaribu pia kucheki kwenye kampuni za ujenzi,...unaweza pia kujaribu YAPI MERKEZI maana hawa jamaa wameanza mradi mpya wa LOT 3 na LOT 4,japo wana viashiria flan vya rushwa kwa ma HR wa kibongo lkn unaweza kutoboa, tuma CV yako kwenda
oac@ym.co.tr na usitume nakala za vyeti wala usitume chochote zaidi ya CV yako tu.
Kwenye CV utaainisha wewe ni mahiri wa kuendesha gari gani na pia utaweka contact zako.
Na pia utaandika kwenye SUBJECT ya email yako kuwa unaomba kazi gani km ni DUMP TRUCK, MINI BUS, SEMI TRAILER, LOW BED ama LIGHT VEHICLE(gari ndogo).
Kuna changamoto kwenye kila kampuni na huku pia zipo lkn malipo sio mabaya kiivyo,mm nipo huku.
Nakutakia mafanikio mkuu