Natafuta kazi ya udereva

MASIKITIKO

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
959
428
kwa wale unaojua michongo yoyote ya kazi za udereva mnijuzo,kama vile mining area,NGO au kutoa magari bandarini kupele nchi za Rwanda,Burundi,Zambia,Congo n.k,nina Class C,NIT grd two certificate,form4 35age:contact ikra1952@yahoo.com
 
duh,kweli acha wakenya waendelee kuteka soko la ajira zetu,mhitimu wa grade two una thubutu kuandika kihuni namna hiyo?andika kama kweli unania ya kazi watu wapate moyo wa kukurecommend mahali. your age and qualification havifanani na jinsi ulivojieleza.
 
Fafanua huo uhuni uliyoona
 
duh,kweli acha wakenya waendelee kuteka soko la ajira zetu,mhitimu wa grade two una thubutu kuandika kihuni namna hiyo?andika kama kweli unania ya kazi watu wapate moyo wa kukurecommend mahali. your age and qualification havifanani na jinsi ulivojieleza.

Mbona lugha aliyotumia ni ya kawaida tu.Acha wivu au wewe una grade three
 
Back
Top Bottom