Natafuta kazi ya udereva

denis kapol

Member
Mar 3, 2021
7
1
Habari wanajamii, nina shida kwasasa sina kazi.

Naombeni msaada maana hali ni tete

Nimesomea udereva, nina cheti cha form4 na nina cheti cha NIT pia naleseni daraja C.

Nipo Dar, number yangu ni 0653702574
 
Dah, watu wanawafanya wenzao wajihisi vibaya,, wewe unajua wazi kuwa yeye Ni mwanaume, lakini kwa makusudi unamwambia angekuwa mwanamke!!

Acha matusi ya rejareja boss!
 
Wakati unaendelea kutafuta kazi rasmi hizo zenye mishahara nikupe wazo moja tu linaweza kukusaidia. Jaribu kutengeneza uhusiano na jamaa wa daladala iwe coaster au hiace uwe unapiga wakati unaendelea kufanya applications zako. Mimi ni graduate wa 5yrs ago niko kwenye hii kitu ya ubobdere wa daladala si haba maisha yanasonga.
 
Habarini natafuta kazi ya udereva nina cheti cha kidato cha 4 na nimesoma N I T nina uzoefu wakutosha , nina lesen class C na nauzoefu wa kuendesha UBER , SCHOOL BUS na magari ya ofini number yangu ni 0653702574 /0684856702 naombeni mnisaidie, hari nimbaya.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom