natafuta kazi ya udereva | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

natafuta kazi ya udereva

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by seseme, Sep 28, 2011.

 1. s

  seseme Member

  #1
  Sep 28, 2011
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi ni dereva mwenye uzoefu wa miaka 3 natafuta kazi kwa kampuni,mtu binafsi,kwa yeyote mwenye interest just find me on this details +255717550176 or shebydad@yahoo.com::ban-rush@live.com thank you.
   
 2. Lutala

  Lutala JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  sawa mkuu nikipata taarifa nitakucheck
   
 3. J

  Joyceline JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 1,010
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  nitakuchek kwenye e-mail yako kunanafasi za kazi zimetangazwa ofisini kwetu internal baada ya wiki watatangaza kwa watu wa nje, nitakutumia tangazo kwenye e-mail yako na mambo mengine.
   
 4. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #4
  Sep 28, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,982
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  Kama una ka Form 4 fulani inakua rahiksi hasa kwenye mashirika.
   
 5. s

  seseme Member

  #5
  Sep 28, 2011
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thank, nitashukuru sana.
   
 6. s

  seseme Member

  #6
  Sep 28, 2011
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thank, nitashukuru sana@joycelin
   
 7. v

  valid statement JF-Expert Member

  #7
  Sep 28, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  wakati mwengine najiuliza,kuendesha gari,na ukawa unajua ka kidhungu kako ka englishikoz,je kuna umuhimu wa ka form4?mi sijui wala.
   
Loading...