Natafuta kazi ya udereva

alseidy

New Member
Jan 25, 2019
1
0
Habar zenu wana JF mm ni kijana mweny umri wa miaka 26 natafuta kazi ya udereva resen yangu inaruhusu kuendesha gari zote isipokuwa gari za abiria peke yake kwa ataeweza kunisaidia anicheki kwa contact hizi
+255 652221253
+255 620221289


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujajieleza vizuri.
Kuendesha gari zote?
Za aina gani.
Za abiria ndogo...hiace
Za abiria za kati ...coaster?
Gari binafsi zipi? Za kisasa ?
Za mizigo zipi?
Za masafa marefu mpaka wapi?
Nchi jirani umefika zipi?
Una passport hai?
Unaweza fanya biashara ukaleta hesabu au ni wa kutumwa ukasubiri milege?
Taxify na uber unaijua biashara yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujajieleza vizuri.
Kuendesha gari zote?
Za aina gani.
Za abiria ndogo...hiace
Za abiria za kati ...coaster?
Gari binafsi zipi? Za kisasa ?
Za mizigo zipi?
Za masafa marefu mpaka wapi?
Nchi jirani umefika zipi?
Una passport hai?
Unaweza fanya biashara ukaleta hesabu au ni wa kutumwa ukasubiri milege?
Taxify na uber unaijua biashara yake?

Sent using Jamii Forums mobile app



GOOD KWA MAREKEBISHO
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom