Natafuta kazi ya udereva

Sasa atafanyaje kazi za daladala na huku ana C yoyote.??? Usije fia jela mzee. Nenda NIT kasomee VIP. Hata Veta wanatoa C. Ila nenda NIT. C
Leseni Daraja E
Ina
A , B , C1 , C2, C3 ,D na E
Kwahyo Costa mwenye Daraja E anaendesha bila shida na Traffic
 
Hiyo apo nijaribu ku upload inashindikana
Nime screenshot picha zake
 
Kama wiki mbili hiviiBei ni Laki 4 na 50 kama sijakosea. Kama unajua udereva ndio fani yako basi nenda NIT kasome course ya VIP au industrial grade 1 na two hapo utapta kazi serikalini
Kuna dogo kamaloza 4 kachemka na hana academic certificate akienda course za NIT itamuathiri kiasi gani kutokuwa na cheti wakati wa kutafuta ajira
 
Kuna dogo kamaloza 4 kachemka na hana academic certificate akienda course za NIT itamuathiri kiasi gani kutokuwa na cheti wakati wa kutafuta ajira
Sawa mkuu shukran. Na huwa mafunzo ni asubuhi mpaka jioni au masaa machache tu kwa siku?
 
Udereva wa Chuo mara nyingi huwa hauaminiki sana ila kama ulianza mtaani kisha ukaenda kusoma hapo sawa ila kama ulitoka Secondary ukaenda kusomea udereva kisha unatafuta kazi ya udereva wewe bado nikushauri tafuta ndugu/Rafiki mwenye gari iwe ya mizigo au abiria au binafsi chukua uzoefu uijue misukosuko ya barabarani ili ukija kuwa peke yako usipate tabu usikurukie magari ya watu kisa umetoka chuo utawatia watu hasara, Serikali inaendelea kuiona hasara baada ya kuwafukuza madereva wenye uzoefu na kuwachukua wasomi wa vyuo na hawana uzoefu wa kazi.
 
Kuna dogo kamaloza 4 kachemka na hana academic certificate akienda course za NIT itamuathiri kiasi gani kutokuwa na cheti wakati wa kutafuta ajira
Boss, NIT hawafundishi watu Udereva. Wanaoenda kusoma NIT ni watu amabao ni madereva tauari yaani awe na Class D au E ambayo imefanya kazi mwaka mmoja ñdo ataweza kusoma Course zA VIP na PSV na HGV. So kama mdogo wako hajawai somea udereva basi aende veta na baada ya mwaka mmoja aende NIT
 
Leseni yangu mm ina Madaraja hayo yote nilioyataja

Kumbuka : sikuizi Wanatoa leseni mpaka uwe na Chet cha chuo ulichosomea Udereva

Sio kama Zaman
Najua kila kitu boss. Namiliki Leseni mwaka wa 6 sasa. Ila usijidanganye kuwa Eti Class E unaweza endesha kwa C1, C2, C3 Na C kavu.

Class E ni kwa ajili ya Mizigo tu. Na izí C zote ndo za abiria peke akae. Húwezi pata C kama huna D au E. Na huwezi pata E kama huna D
 
Wanachukuliwa wenye Daraja E tu
Na wenye Uzoefu wa Mwaka mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…