Genius - JF expert
Member
- Sep 15, 2018
- 24
- 12
Ni hatua zipi za KufuataJiunge na ajira portal ya utumishi kuna fursa kibao za udereva
Ingia ajira Portal ujiunge na kazi za udereva serikalini ni nyingí sanaa Hadi utakimbia ww. Ila cha msingi nenda NIT kasomee C1 na C2 Ili uwe VIP Driver. Bila ivo sahau kupata Kazi serikalini.Mimi ni Dereva
Leseni Daraja E
Nimesomea Udereva katika chuo kinachotambulika na Serikali
Natafuta kazi ya Udereva
mwenye mahitaji ya Dereva anicheki
0754 062 155
Hivi iyo kusomea inachukua mda gani na huwa ni bei gani?Ingia ajira Portal ujiunge na kazi za udereva serikalini ni nyingí sanaa Hadi utakimbia ww. Ila cha msingi nenda NIT kasomee C1 na C2 Ili uwe VIP Driver. Bila ivo sahau kupata Kazi serikalini.
By. Senior Transport Manager
Bei ni Laki 4 na 50 kama sijakosea. Kama unajua udereva ndio fani yako basi nenda NIT kasome course ya VIP au industrial grade 1 na two hapo utapta kazi serikaliniHivi iyo kusomea inachukua mda gani na huwa ni bei gani?
Ahsante kwa Ushauri MkuuIngia ajira Portal ujiunge na kazi za udereva serikalini ni nyingí sanaa Hadi utakimbia ww. Ila cha msingi nenda NIT kasomee C1 na C2 Ili uwe VIP Driver. Bila ivo sahau kupata Kazi serikalini.
By. Senior Transport Manager
Sawa mkuuKama wiki mbili hiviiBei ni Laki 4 na 50 kama sijakosea. Kama unajua udereva ndio fani yako basi nenda NIT kasome course ya VIP au industrial grade 1 na two hapo utapta kazi serikalini
✍✍ sawaHizi kazi zimekuwa ngumu sana sasa hivi maana malory hakuna kitu, mabasi jiandae kupambana na nguo nyeupe serikalini mpk hapo hauna vigezo na kampuni binafsi siku hizi maboss wanajiendesha ushauri wangu ujiajir tu kama uber au bodaboda
Ofisi zao zipo wapi mkuu. Nisaidie tafadhali. Na vipi kuhusu veta hawatoi "C"?Kama wiki mbili hiviiBei ni Laki 4 na 50 kama sijakosea. Kama unajua udereva ndio fani yako basi nenda NIT kasome course ya VIP au industrial grade 1 na two hapo utapta kazi serikalini
Upo dar?Mimi ni Dereva
Leseni Daraja E
Nimesomea Udereva katika chuo kinachotambulika na Serikali
Natafuta kazi ya Udereva
mwenye mahitaji ya Dereva anicheki
0754 062 155
CHUO KIPO MABIBOOfisi zao zipo wapi mkuu. Nisaidie tafadhali. Na vipi kuhusu veta hawatoi "C"?
Ndio MkuuUpo dar?
Kazi za Daladala unaweza kufanyaNdio Mkuu
Ndio Naweza Kufanya MkuuKazi za Daladala unaweza kufanya
Sawa mkuu shukran. Na huwa mafunzo ni asubuhi mpaka jioni au masaa machache tu kwa siku?CHUO KIPO MABIBO
ukishuka Ubungo Bus Terminal
Usipande Daladala
Tembea tu kwa Miguu
Unapita Road ya Ubungo maziwa mpaka mabibo Mwisho
Mabibo mwisho kuna Daladala ila wewe usipande
Shusha tu na Road
Utatembea kidogo tu
Utafika chuoni NIT pia utaona na Banko .
Ni karibu mno na Ubungo bus Terminal , kwa miguu tu unafika
Kwani ukikamatwa na gari ya biashara na leseni yako haina C faini ni nini?Sasa atafanyaje kazi za daladala na huku ana C yoyote.??? Usije fia jela mzee. Nenda NIT kasomee VIP. Hata Veta wanatoa C. Ila nenda NIT. C
C mpaka awe na cheti cha F4!Kama wiki mbili hiviiBei ni Laki 4 na 50 kama sijakosea. Kama unajua udereva ndio fani yako basi nenda NIT kasome course ya VIP au industrial grade 1 na two hapo utapta kazi serikalini