Natafuta kazi ya udereva napatikana Morogoro mjini

Mi mwenyewe natafuta kazi ya udereva nipo dar lesen yangu ina madaraja manne kuna A B E D nna uzoefu wa miaka nane na kuendelea no yangu ni 0717111140'msaada tafadhali naendesha gari zote pia nna uzoefu wa mechanics pia nna certificate ya govement transport agenc(GTA)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom