G'taxi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 6,565
- 8,427
Andaa vyeti vyako vzr vya udereva..tafuta msaada wa kipesa hata kwa ndugu,nenda Shinyanga katika migodi ya Buzwagi na Kahama mining kule Kakola,wameanza kuajili kidogo kidogo,kama unavyo vumilia shida Arusha nenda kavumilie kusimama kwenye geti la mgodi,wanaoingia na kutoka walilie shida ya kazi,,waTanzania hawana shida sana hutakosa wa kukusaidia
Utaleta mrejesho
Utaleta mrejesho