Natafuta kazi ya udereva au ufundi

Natafuta kazi ya udereva au ufundi

msema_kweli

Senior Member
Joined
Nov 6, 2013
Posts
178
Reaction score
102
Mimi ni kijana umri miaka 33 ni dereva mwenye leseni daraja c kavu nimesoma NIT na nifundi magari makenika level 1 nimesoma veta ninao ujuzi wa kutosha kwenye ufundi na udereva niko tayari kufanya kazi popote Tanzania ili mradi maslai yawe mazuri asnten
 
Mkuu, Fanya upitie hili tangazo la MANISPAA YA KIGAMBONI kazi kibao za udereva .... kwa uwezo ulioandika hapo unafaa vizuri ....Uje kunipa zawadi[emoji3]
Screenshot_2018-10-18-02-26-32.jpeg
 
Tatizo kazi za serikalini cheti cha form four kama anacho aseme kuna link za kutosha wanazohitaji madereva wenye sifa kama za huyo ila addition na form four certificate
Form four sikufika mimi ni la saba
 
Mimi ni kijana umri miaka 33 ni dereva mwenye leseni daraja c kavu nimesoma NIT na nifundi magari makenika level 1 nimesoma veta ninao ujuzi wa kutosha kwenye ufundi na udereva niko tayari kufanya kazi popote Tanzania ili mradi maslai yawe mazuri asnten
Nipigie 0692470547/0658276181
 
Njoo pm nina daladala haina dereva kwa sasa
 
Mimi ni kijana umri miaka 33 ni dereva mwenye leseni daraja c kavu nimesoma NIT na nifundi magari makenika level 1 nimesoma veta ninao ujuzi wa kutosha kwenye ufundi na udereva niko tayari kufanya kazi popote Tanzania ili mradi maslai yawe mazuri asnten
Tunahitaji mwalimu wakufundisha kozi ya ufundi magari(MVM) na umeme wa magari(Auto electrical) kwa vijan wa kozi za VETA level 1-3.
Kama una interest na unaweza tuwasiliane -0717157640
Na pia unaweza tutuma CV YAKO kidtcollege@gmail.com
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom