Natafuta kazi ya Udaktari

sina shaka taaluma yako ina ajira nyingi mno, utafanikiwa tu in very short run!!
 
Hongera Sana Daktari.
 
1. Igogwe Mission
2. Matema beach hospital
3. Ifisi hospital
4. Uhai HC
5. Maranatha hospital
6. Lituhi Mission (Nyasa DC)
7. Liuli hospital (Nyasa DC)
8. Ikonda hospital (Makete)
9. Ilembula hosp (Wanging'ombe)
10.

Peleka barua huko kwa private hospitals kote, nimetaja chache tu;-- Huwezi kosa kuitwa.

Bado zipo smaller private HFs, nyingine zipo rural sana, ambako ni sehemu sahihi sana kwenda kujifunza kazi after internship

All the best
 
Nashukuru sana kwa ushauri mkuu [emoji1374][emoji1374][emoji1374]. Be blessed.
 
Nenda Mawenzi kilimanjaro wanahitaj madaktari Wanns kama volunteer, nusu mshahara anza na hiyo
 
mwanangu tupo pamoja, mm mwenyewe nimemaliza intern November ni MD, ila kazi hamna.
kuvolunteer kwenyewe sahz hospital nyingi hawachukui.
Check na TUME YA KIKRISTO YA HUDUMA ZA JAMII wanaratibu hospital, Vituo vya Afya, na Zahanati za madhehebu ya CCT na TEC mkuu
 
Kama unapenda kufundisha angalia fursa kwenye vyuo vya diploma za medical (utabibu, famasi na nesi) unaweza ukapata vipindi vya kufundisha.
 
Vijana tujiajiri kuna fursa nyingi.
Wakati mwanae na mkwewe wanakula shavuot la serkal
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…