Nimemaliza kidato cha 6 mwaka uliopita natafuta kazi ya ualimu kwa yeyote mwenye shule ya private nipo maeneo ya kahama ambae yupo na nafasi hiyo anitumie ujumbe email yangu Amostianj@gmail.com
Ndugu yangu kwa elimu yako ya form six ni vigumu shule yoyote kukuajiri kama mwalimu ni lazima upitie mafunzo ya ualimu.....na course ya ualimu...ushauli wangu kwako kijana ni mara mia ukatafute ajira...nyingine au ukajiajiliiii