Natafuta kazi ya Ualimu

0752025140

Member
Sep 8, 2021
6
0
Habarii Zenu Ndugu Zangu,

Kwa majina Naitwa Mwalimu Francis Mwakilima Nimwalimu Wamasomo Ya Kiingereza Na Fasihii Ya Kiingereza (Literature) Nimakazii Wa Mkoa Wa Mbeya nina Uwezo nzuri Wakufundisha Vidato Vyote Msingi Hadi Sekondarii.

Natafta Nafasii Yakufundisha.

Namba Yangu Yamawasiliano 0752025140
 
Wakati huu unasubiria kupata kazi hebu jiongeze kidogo hapo ulipo kuna watoto wa dalasa la saba wamemaliza shule juzi,kusanya watoto uwafundishe twisheni pre form 0ne........ni ushauri tu
 
Wakati huu unasubiria kupata kazi hebu jiongeze kidogo hapo ulipo kuna watoto wa dalasa la saba wamemaliza shule juzi,kusanya watoto uwafundishe twisheni pre form 0ne........ni ushauri tu
Ahsante mkuu nalifanyia kazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom