Natafuta kazi ya ualimu wa sayansi katika shule ya private DSM au Mbeya

Complicator

JF-Expert Member
Aug 23, 2013
1,893
2,000
Ninatafuta shule ya kufundisha masomo ya physics, na chemisty katika shule yoyote iliyoko DSM au Mbeya jiji, kwa sasa ni muajiriwa serikalini ila nahitaji kuondoka huku kwasababu binafsi, kuna organisation kama teachers junction masharti yao ni magumu sana.

Kwa yeyote wa kuweza kunisaidia kwahiyo naomba niPM
 

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,667
2,000
Dahh, unakosea sana kuweka contacts zako public mkuu.


You are no longer secured!
 

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
8,397
2,000
Uwezo wako ni mdogo sana kufundisha private school, Umeshindwa kujielezea hata kiwango chako cha elimu? Unafundisha madarasa gani? Chekechea au high school? Una experience ya mda gani tangu uanze kufundisha masomo hayo? Kwa nini unataka mikoa hiyo na si kwingine? Ni mwanamke au mwanaume? Nina wasiwasi na Uwezo wako.
 

Complicator

JF-Expert Member
Aug 23, 2013
1,893
2,000
Uwezo wako ni mdogo sana kufundisha private school, Umeshindwa kujielezea hata kiwango chako cha elimu? Unafundisha madarasa gani? Chekechea au high school? Una experience ya mda gani tangu uanze kufundisha masomo hayo? Kwa nini unataka mikoa hiyo na si kwingine? Nina wasiwasi na Uwezo wako.
ndiyo maana ya kuweka mawasiliano.
Ninatafuta shule ya kufundisha masomo ya PHYSICS na CHEMISTRY katika shule yoyote iliyoko dsm au mbeya jiji,kwa sasa ni muajiriwa serikalini ila nahitaji kuondoka huku kwa sababu binafsi,kuna organisation kama teachers junction masharti yao ni magumu sana,kwa yeyote wa kuweza kunisaidia kwahiyo naomba niPM au
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom