Natafuta kazi ya Ualimu wa English Medium nina uzoefu miaka mitano

Nickson Swai

JF-Expert Member
Sep 5, 2018
548
475
Habari kwa jina naitwa Elifuraha Lyimo nipo Mabibo, Dar es salaam natafuta kazi ya ualimu kwa upande wa shule za msingi(English Medium nna cheti daraja la III A na masomo nayofundisha Mathematics, Civic and Moral na social studies darasa 2,3,4,5 na 6 mawasiliano yangu ni 0714954609.

Nina uzoefu wa miaka 5
 
Kila la heri kaka...ukikosa njoo ulinzi Garda ( kama umequalify ) mishahara ni hiyo hiyo.
 
Pole ndugu...siku hizi kama huna degrii....na wewe ni mwalimu wa hesabu...ndio majanga ya yaliyotukuta.....jaribu kujiendeleza kama unalitaja hilo somo pendwa...au usilitaje....... kila la heri.
 
Habari kwa jina naitwa Elifuraha Lyimo nipo Mabibo, Dar es salaam natafuta kazi ya ualimu kwa upande wa shule za msingi(English Medium nna cheti daraja la III A na masomo nayofundisha Mathematics, Civic and Moral na social studies darasa 2,3,4,5 na 6 mawasiliano yangu ni 0714954609.

Nina uzoefu wa miaka 5
Nitafute
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom