Natafuta kazi ya u house maid

Natafuta kazi ya u house maid

NTA level 4 zile kazi za kigamboni hautoshi? Jaribu bahati yako.

Usikate tamaa wengi hatuna wazazi toka tukiwa wadogo ila maisha yanaenda.

Pole sana.
 
Pole sana rafiki,nilikuja speed ili nikutanie ila story yako inatia uchungu sana ila usiwe na wasiwasi kuna siku utatoka mwaya!
 
Kama kichwa kinavojieleza hapo,

Iwe sehemu yoyote Dar. Mshahara kuanzia laki moja per month elimu yangu niliishia chuo NTA level 4. Nilijaribu kuomba mkopo nijiajiri kwa baadhi ya watu but hawatoi mkopo bila kuonja kitumbua they thought nitatoa sababu niko desperate but nimekaza moyo.

Wengine wakaamua kunipotezea tu nami sina wazazi wala mtu specific wa kumtegemea. Nimeamua tu nijaribu hivi maybe historia yangu inaanzia hapa. Msinione mshamba wadada wenzangu, naogopa magonjwa.

Kwa alie na uhitaji aje PM
Kama upo serious hakuna ushamba hapo. Kila la kheri utapata.
 
Pole sana dada ila utapta tu kwakuwa wewe ni she wengne tumeombana hadi tumekuwa wakulima wa maboga
 
Back
Top Bottom