Natafuta kazi ya u house maid

Natafuta kazi ya u house maid

Desire Dizaya

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2015
Posts
6,476
Reaction score
11,671
Kama kichwa kinavojieleza hapo,

Iwe sehemu yoyote Dar mshahara kuanzia laki moja per month elimu yangu niliishia chuo NTA level 4. Nilijaribu kuomba mkopo nijiajiri kwa baadhi ya watu but hawatoi mkopo but nimekaza moyo.

Wengine wakaamua kunipotezea tu nami sina wazazi wala mtu specific wa kumtegemea. Nimeamua tu nijaribu hivi maybe historia yangu inaanzia hapa. Msinione mshamba wadada wenzangu, naogopa magonjwa.

Kwa alie na uhitaji aje PM
 
kama kichwa kinavojieleza hapo..
iwe sehemu yoyote dar.
mshahara kuanzia laki moja per month
elimu yangu niliishia chuo nta level 4.

nlijaribu kuomba mkopo njiajiri kwa baadhi ya watu but hawatoi mkopo bila kuonja kitumbua
they thought ntatoa sababu nko desperate..but nimekaza moyo.
wengine wkaamua kunipotezea tu.
nami sina wazazi wala mtu specific wa kumtegemea.
nimeamua tu nijaribu hivi..maybe historia yangu inaanzia hapa..

msinione mshamba wadada wenzangu..naogopa magonjwa.

kwa alie na uhitaji aje pm
Kwanini waje inbox Na siyo wewe kwenda inbox?
 
Upo tayari kulea mtoto wa miaka mitatu? Sorry! Ila kazi ipo arusha!
 
kama kichwa kinavojieleza hapo..
iwe sehemu yoyote dar.
mshahara kuanzia laki moja per month
elimu yangu niliishia chuo nta level 4.

nlijaribu kuomba mkopo njiajiri kwa baadhi ya watu but hawatoi mkopo bila kuonja kitumbua
they thought ntatoa sababu nko desperate..but nimekaza moyo.
wengine wkaamua kunipotezea tu.
nami sina wazazi wala mtu specific wa kumtegemea.
nimeamua tu nijaribu hivi..maybe historia yangu inaanzia hapa..

msinione mshamba wadada wenzangu..naogopa magonjwa.

kwa alie na uhitaji aje pm
Njoo nikupe kazi. Usafi na kufua jumapili tu nakulipa 20,000 kila ukija. Hio ni 80,000 kwa mwezi kwa kufanya kazi siku nne tu tena haizidi masaa manne kwa siku.
 
Kazi iko,kusimamia nyumba/house maid,mshahara 200,000 kwa mwezi na likizo mwezi mmoja!!!!
 
Njoo nikupe kazi. Usafi na kufua jumapili tu nakulipa 20,000 kila ukija. Hio ni 80,000 kwa mwezi kwa kufanya kazi siku nne tu tena haizidi masaa manne kwa siku.
aggyjay hebu wasiliana na RRONDO ucheki hii dili.

Nami nakuhitaji but lokesheni ni Kidatu Morogoro.
 
Ulisomeshwa na nani hadi hapo ulipofikia kama huna ndugu?.....
Istoshe kwa hapa mjini mzamini wako atakua nani kama ntakupatia kibarua na ww umesema huna ndugu?

commred Chichimizi
 
Kama kichwa kinavojieleza hapo,

Iwe sehemu yoyote Dar. Mshahara kuanzia laki moja per month elimu yangu niliishia chuo NTA level 4. Nilijaribu kuomba mkopo nijiajiri kwa baadhi ya watu but hawatoi mkopo bila kuonja kitumbua they thought nitatoa sababu niko desperate but nimekaza moyo.

Wengine wakaamua kunipotezea tu nami sina wazazi wala mtu specific wa kumtegemea. Nimeamua tu nijaribu hivi maybe historia yangu inaanzia hapa. Msinione mshamba, wadada wenzangu, naogopa magonjwa.

Kwa alie na uhitaji aje PM

Don't lose hope my sister, Jitahidi unavyoweza vitu vitafanikiwa baadaye, Mungu akubariki na akusaidie.
 
Kama kichwa kinavojieleza hapo,

Iwe sehemu yoyote Dar. Mshahara kuanzia laki moja per month elimu yangu niliishia chuo NTA level 4. Nilijaribu kuomba mkopo nijiajiri kwa baadhi ya watu but hawatoi mkopo bila kuonja kitumbua they thought nitatoa sababu niko desperate but nimekaza moyo.

Wengine wakaamua kunipotezea tu nami sina wazazi wala mtu specific wa kumtegemea. Nimeamua tu nijaribu hivi maybe historia yangu inaanzia hapa. Msinione mshamba wadada wenzangu, naogopa magonjwa.

Kwa alie na uhitaji aje PM

Sio mbaya maan hutafanya miaka yooote just way tu ya kutokea huez jua ko usiwazeee
 
Back
Top Bottom