D DJ Imma JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 221 Reaction score 100 Apr 10, 2014 #1 Habari ndugu zangu!! mimi natafuta kazi ka kupoga mziki (DJ) katika club, concerts, na sehemu yoyote inayopigwa mziki nina uzoefu wa zaidi ya miaka 8, Naomba msaada wenu! kwa maelezo zaidi naomba PM
Habari ndugu zangu!! mimi natafuta kazi ka kupoga mziki (DJ) katika club, concerts, na sehemu yoyote inayopigwa mziki nina uzoefu wa zaidi ya miaka 8, Naomba msaada wenu! kwa maelezo zaidi naomba PM
kende JF-Expert Member Joined Dec 2, 2013 Posts 3,527 Reaction score 1,671 Apr 10, 2014 #2 Wanakuja,vuta subra
M MTOTO KITAA JF-Expert Member Joined Oct 18, 2013 Posts 245 Reaction score 116 Apr 10, 2014 #3 mtafute mbowe wa chadema, anaclub yake ya billcanas, huenda akakusaidia.
excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,463 Reaction score 17,960 Apr 10, 2014 #4 8 years experience, means ulikuwa na ajira... sasa imekuwaje?
Balozi wa Dodoma JF-Expert Member Joined Dec 22, 2013 Posts 477 Reaction score 179 Apr 10, 2014 #5 DJ Imma said: nina uzoefu wa zaidi ya miaka 8, Naomba msaada wenu! kwa maelezo zaidi naomba PM Click to expand... unataka msaada gani Moral or material?
DJ Imma said: nina uzoefu wa zaidi ya miaka 8, Naomba msaada wenu! kwa maelezo zaidi naomba PM Click to expand... unataka msaada gani Moral or material?