Natafuta kazi ya stationery

Natafuta kazi ya stationery

Abiya94

Member
Joined
May 12, 2021
Posts
6
Reaction score
2
Nina umri wa miaka 28 ninaishia Bagamoyo maeneo ya Mapinga shule ninao uzoefu wa kutosha kwa kazi hiyo nimefanya kazi ya stationery kwa zaidi ya miaka 7 na Secretary hivyo ninaouzoefu mkubwa katika utendaji wa kazi hiyo.na kazi ya uwakala wa benk na tigopesa na Mpesa,usafi ofisini.

Ninaouwezo wa kutumia computer vizuri na kuchapa document kwa haraka ninaweza kutumia program ya Microsoft office na kuandaa, Card za sherehe mbalimbali ikiwemo Harusi Seandoff, Kitchen party.

Abiya Charles 0656956916/0694408033
 
Nina umri wa miaka 27 ninaishia Dar es salaam maeneo ya African Mbezi Beach ninao uzoefu wa kutosha kwa kazi hiyo nimefanya kazi ya stationery kwa zaidi ya miaka 7 hivyo ninaouzoefu mkubwa katika utendaji wa kazi hiyo.na kazi ya uwakala wa benk na tigopesa na Mpesa.

Ninaouwezo wa kutumia computer vizuri na kuchapa document kwa haraka niweza kutumia program ya Microsoft office na kuandaa, Card za sherehe mbalimbali ikiwemo Harusi Seandoff, Kitchen party.

Abiya Charles 0656956916
Nakuombea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom