jiweeee New Member Joined May 11, 2019 Posts 3 Reaction score 0 Jun 11, 2019 #1 wana jf natafuta job za kutwa nipo kahama
neggrer Senior Member Joined Oct 26, 2016 Posts 180 Reaction score 83 Jun 11, 2019 #2 jiweeee said: wana jf natafuta job za kutwa nipo kahama Click to expand... kahama sehem gan
jiweeee New Member Joined May 11, 2019 Posts 3 Reaction score 0 Jun 17, 2019 Thread starter #3 malunga
S selle Member Joined Jul 9, 2011 Posts 47 Reaction score 31 Jun 22, 2019 #4 jiweeee said: malunga Click to expand... malunga moja hiyo
Mayor Slum JF-Expert Member Joined Jan 4, 2017 Posts 776 Reaction score 1,177 Jun 22, 2019 #5 Kwa kuwa hujasema kitu kuhusu hiyo dayworker Ebu Jaribu kwenye kiwanda cha dengesela Ingia stendi kunawapiga debe buku saba kwa siku Nenda kwa mbele ya Marine hotel Kuna mjengo wanajenga Hapo ulizia Fatilia Tanroad na Tansce Mida asubuhi ulizia kama kuna deal .
Kwa kuwa hujasema kitu kuhusu hiyo dayworker Ebu Jaribu kwenye kiwanda cha dengesela Ingia stendi kunawapiga debe buku saba kwa siku Nenda kwa mbele ya Marine hotel Kuna mjengo wanajenga Hapo ulizia Fatilia Tanroad na Tansce Mida asubuhi ulizia kama kuna deal .