Natafuta kazi ya salon ya kike mikoani

Natafuta kazi ya salon ya kike mikoani

eliacamp

Member
Joined
Dec 15, 2017
Posts
8
Reaction score
9
Habari jaman naitwa Elia camp natafuta kazi ya salon ya kike
Ni mtaalamu wa mambo yote ya salon nimesomea

Najua kusuka, kushonea na kubond wiving aina zote, kufanya makeup vizuri, kupamba maharusi, kuset na kubana style zote n.k

Kwa yeyote anaehitaji aniambie sichagui mkoa ila mimi nipo Moro town msaada no 0715992666
 
Habari jaman naitwa Elia camp natafuta kazi ya salon ya kike
Ni mtaaramu wa mambo yote ya salon nimesomea
Najua kusuka, kushonea na kubond wiving aina zote,kufanya makeup vizuri, kupamba maharusi ,kuset na kupana style zote n.k

Kwa yeyote anaehitaji anaambie sichagui mkoa ila mm nipo moro town msaada no 0715992666
Wewe mdada au mkaka?
 
Nauzoefu wa kazi za salon ya kike kusuka,makeup,kushonea na kubond wiving n.k kama kuna mtu anahitaji mfanyakazi wa kiume wa salon ya kike aniambie 0715992666
 
25398628_2208850759140492_202398780766914218_n.jpg
 
Habari jaman naitwa Elia camp natafuta kazi ya salon ya kike
Ni mtaalamu wa mambo yote ya salon nimesomea

Najua kusuka, kushonea na kubond wiving aina zote, kufanya makeup vizuri, kupamba maharusi, kuset na kubana style zote n.k

Kwa yeyote anaehitaji aniambie sichagui mkoa ila mimi nipo Moro town msaada no 0715992666

Mcheck huyu nimeona kwenye group anatafuta mdada wa saloon : 0716652668
 
fungua saloon yako, nafaham ujuzi wako nilikuona mbeya nane nane kwa kweli uko vizur katika hyo fani jitahid ujiajir mwenyewe
 
Yani unajua hayo yote unatafta uajiriweee??? Jamani mbona hujitendei haki. Km huna mtaji anza kusukia nyumbani Na ukipata mteja hakikisha unatumia ujuzi wote ili ujitangaze,,ukishasuka watu watano tu vzuri,, utawakimbia wateja, suka vzuri weka bei ya kawaida tu,,ukitaka kuajiriwa hutafaidi chochote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom