Natafuta kazi ya part time

Natafuta kazi ya part time

npm

Member
Joined
Sep 30, 2016
Posts
15
Reaction score
22
Habari...

Mimi ni mwanafunzi wa chuo,

Natafuta kazi ya part time kwa siku za weekend ama siku za kawaida kuanzia jioni.

Kazi yoyote mfano kuuza duka, super market n.k

Nipo Dar

Natanguliza shukrani zangu asanteni.
 
Kazi zote ni 'per time' yaani unalipwa kila baada ya muda wa mapatano. Week mwezi nakadhalika. Bila shaka unahitaji 'part time' kama kuna kazi inayotumia kizungu umeshaikosa!!
 
Jamani nilikosea Kuandika naona kama watu wanafika mbali ambapo hakustaili..... Samahani kwa niliowakwaza ..tuishie apa usiku mwema
 
per time.
 
Usiku mwema na njozi njema ila najua huwezi kurudia makosa.
 
Kazi zote ni 'per time' yaani unalipwa kila baada ya muda wa mapatano. Week mwezi nakadhalika. Bila shaka unahitaji 'part time' kama kuna kazi inayotumia kizungu umeshaikosa!!
Don't fake the folk....its 'part time' NOT 'per time'. She was and is right...
 
hapo alivyoelekeza hajakosea mkuu, per time ni neno linalotumika kwenye vipimo vya umbali, ujazo hata viwango vya mishahara. kama umewahi kusikia per second, per minute, per hour, hizo second minute na hour ndio time yenyewe so alivyoelekeza hapo hajakosea.
ndo mana kwenye formula za kukokotoa mshahara wa mfanyakazi kuna time taken, time saved, time allowed na over time.
kwenye umbali kuna m/s km/h

jana usiku hukuwepo, huyu mtoa post alichapia ila kwa vile Moderator ni Lembebe wake alimrekebishia
 
part time means for only part of the usual working day.
per time means a certain amount/quantity per minute or per hour
 
Noted with due regard mkuu

Ha ha... don't get distraught and perplexed...
lazima usahihishwe tu mana hamna namna ukikutana na mzungu huko usije kuliaibisha taifa.
ona sasa hapo na wewe ulishaingia chaka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom