Natafuta Kazi ya Networking/IP Engineer

Kwanini usiendelee na CCNP? mimi nina ccna lakini nimeona nisianzee kutafuta kazi kwanza maana sita pata kazi yenye hela ninayo taka... Niko kwenye safari ya CCIE maana hiyo ina hela nzuri sana ndani na nje ya nchi
Mkuu tunaomba mrejesho, ccna ulisomea center gani?
 
Habari mkuu nilitaka nije PM lakini sijapata accesss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…