dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,809
- 61,673
mtu wa forever living uyo wala usijisumbue kamandaKazi na ajira kutoka kampuni ya kichina - JamiiForums
Are you serious ?Manake nimepitia huu uzi naona kuna walakini,usitumie shida yangu ya kutafuta ajira kama fursa ya wewe kupiga hela kiujanja ujanja.
Nawajua hawa kaka,mjini msingi maneno ,huyu si wa kwanza nishakutana mpaka na watu wa Q-Net ,kwa hiyo hanisumbui.mtu wa forever living uyo wala usijisumbue kamanda
DIT UJIPANGE SIO MCHEZO HIZO COZ COMPUTER TELE MPAKA CST NI UKAZE KWELI AISEESikua na studying mood....
Ila nataka chukua certificate ya networking pale DIT
Umesajiliwa kama graduate engineer?Nawajua hawa kaka,mjini msingi maneno ,huyu si wa kwanza nishakutana mpaka na watu wa Q-Net ,kwa hiyo hanisumbui.
SEAP hiyo kusema kweli si fahamu,ila nitafuatilia hiki ulichoniambia ERB.Umesajiliwa kama graduate engineer?
Kwanini usiende ERB uombe SEAP program?
Bado kaka na hangaika.Mzee baba umefanikiwa ?
Unaweza ukapitia Tutorial za Youtube na ukawa uko fit ,mimi mwenyewe najiona bado kwani nina kiporo cha network automation ambacho kinanisumbua.Salute mkuu, nimesoma hizi issue kidogo india ila wewe upo deep kinyama, japo nimegusagusa karibu kila eneo kwa juujuu
Nishajaribu karibia mitandao yote mikubwa lkn sikufanikiwa , mimi sasa hivi target yangu ni hizi kampuni ndogo ndogo,hizo kubwa labda itokee kama bahati yangu.Mkuu hebu jaribu halotel ukajitolee
Kaka Asante kwa ushauri.nenda computer centre posta ingia kama field mm pia nilisomaga cisco nilipita juujuu upo deep kinyama utajifunza vingi na kufanya sana hizo kazi na mwisho wanakuajiri mm nilianza kujitolea next month nikawa napewa laki 1 then 2 then 3 kila mwez wakawa wananiongeza laki moja moja niliacha baada ya hubby kunipa mtaji wa biashara now ni mkulima na mfugaji mzuri...
Nishajaribu karibia mitandao yote mikubwa lkn sikufanikiwa , mimi sasa hivi target yangu ni hizi kampuni ndogo ndogo,hizo kubwa labda itokee kama bahati yangu.
Asante kwa ushauri .Tatizo lako unaomba pale makao makuu hebu omba level zavkanda kwakujitolea kazi inayokaribiana na hiyo. Halafu utajiongeza
Hey there... My name is Kevin, iv seen many of your posts and be amazed by how you are dedicated to cisco certs... I am a ccna(studing my ccnp saivi) na nina wazo lakuunganisha watu wanaosoma na waliotoboa kikazi kupeanda ushauri na ushirikiano....kama utakua interested plz nicheki whatsapp nikuunge kwenye grp (0753228505)Hukupambana vya kutosha, it is sooo easy to do subnetting[emoji39][emoji41][emoji39]
Ni mdada huyoKaka Asante kwa ushauri.
umeanza kwa mbwembwe za kingereza,mwishoni kimekupiga chenga ukarudi kwa kiswahili,hebu tumia lugha moja basiHey there... My name is Kevin, iv seen many of your posts and be amazed by how you are dedicated to cisco certs... I am a ccna(studing my ccnp saivi) na nina wazo lakuunganisha watu wanaosoma na waliotoboa kikazi kupeanda ushauri na ushirikiano....kama utakua interested plz nicheki whatsapp nikuunge kwenye grp (0753228505)
CCNP ndo nini broKwanini usiendelee na CCNP? mimi nina ccna lakini nimeona nisianzee kutafuta kazi kwanza maana sita pata kazi yenye hela ninayo taka... Niko kwenye safari ya CCIE maana hiyo ina hela nzuri sana ndani na nje ya nchi