Natafuta Kazi ya maabara

Natafuta Kazi ya maabara

Joined
Jun 30, 2015
Posts
17
Reaction score
1
Ninayo taaluma ya maabara ya (Laboratory microscopist) nawaomba wana Jamii Forum ambao ni wamiliki au wapo karibu na wamiliki wa hospitali,vituo vya afya au zahanati.

Kama kuna uhitaji wa mtu wa kufanya kazi maabara msisite kunitaarifu. tumia Email hii: thomasclemence200@gmail.com au simu no;0769658869.

Mungu awabariki sana.
 
mkuu mboma kazi zako ziko nyingi jaribu kuhangaika kwnye vituo vya afya dispensary hata kumi kwa siku sikufichi huwezi kosa kazi maana dispensary nyingi zinahitaji watu kama nyie bt most of them wanahitaji uwe registered kwny bodi ya maabara,so chakarika.
 
Mkuu ni-pm makadilio ya mshahara unaotaka kupata kwa mwezi ili nikutafutie sehem kazaa nitakujulisha, ila mshahala wa pili utanipa hata ya bando boc, sababu najua lazima ujipange kwanza na maisha yako, Pia sema una dip au degree
 
Daima mshahara huwa ni siri ya mtu. na ni makubaliano kati ya mwajiri na mwajiriwa.
 
Back
Top Bottom