Natafuta kazi ya Maabara

Mimi ni kijana wa miaka 25 , naishi Dar nimejitokeza kwenu kuomba nafasi ya kazi ya Maabara kwani ninacho cheti Lab assistant. Naombeni mnisaidie kupata ajira hata kwa ndugu zenu wenye hospital au dispensary mniulizie. Nitawashukuru sana 0765 626 871
Bro natarajia kufungua Medical Centre soon, tuwe tunawasiliana
 
mtalaam wa maabara mwenye certificate yaani technician certificate in medical laboratory
technology *nafasi moja*
2. Anahitajika muuza duka la dawa (pharmacy ) mwenye certificate yaani technician certificate in
Pharmaceutical sciences *nafasi moja* awe amesajiliwa na pharmacy council

Kituo cha kazi ni Kigamboni Dar es salaam
Wawe waminifu

Mawsiliano
0713214258
Email. paulmapili2@gmail.com
Naomba kuwasilish
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom