Natafuta kazi ya kuwa tingo kwenye magari makubwa ya mizigo au mafuta

bryanrt01

Senior Member
Jan 31, 2017
168
79
Naitwa Bryton, nina miaka 23 natafuta kazi ya kuwa tingo kwenye maroli ya mizigo au mafuta, yawe ya ndani au nje ya nchi niko tayali, kwa sababu naipenda hii kazi. Nitashukuru sana nikifanikisha
Namba yangu ni 0745592994
 
bryanrt01
Member, 24

bryanrt01 was last seen:

Yesterday at 11:17 PM
  • About
    Birthday:
    Jan 24, 1993 (Age: 24)



    Una miaka 24 halafu unasema 23...INTERESTING
 
bryanrt01
Member, 24

bryanrt01 was last seen:

Yesterday at 11:17 PM
  • About
    Birthday:
    Jan 24, 1993 (Age: 24)



    Una miaka 24 halafu unasema 23...INTERESTING
Hiyo bado haijatimia ndo inaelekea lakini bado haijatimia
 
Back
Top Bottom