Natafuta kazi ya kuuza duka au hotel

Natafuta kazi ya kuuza duka au hotel

emma andu

Member
Joined
Sep 24, 2015
Posts
34
Reaction score
0
Husika kichwa hapo Nina Dada yangu umri miaka 20 anatafuta kazi yakuuza Duka au yoyote inayoeleweka ni mwaminifu na mdhamini nipo mwenyewe yupo maeneo ya Dar. Mawasiliano 0713791233.
 
Husika kichwa hapo Nina Dada yangu umri miaka 20 anatafuta kazi yakuuza Duka au yoyote inayoeleweka ni mwaminifu na mdhamini nipo mwenyewe yupo maeneo ya Dar. Mawasiliano 0713791233.

anataka mshahara tsh ngapi na yupo maeneo gani, anataka kuuza duka la aina gani.
 
Duka lolote Ndg isipokuwa linalohusiana na mambo ya vileo hapana maana ni binti mlokole hata kama vibanda vya kutolea pesa na kuhusiana na mshahara itategemeana na kazi yenyewe au maelewano yenu @ Tanaluza
 
nina duka la stationary na wakala yeye atahitaj kulipwa tsh ngapi
 
Huyu binti yupo anaishi maeneo ya Kawe, sasa itategemeana na duka lako lipo maeneo gani ili kuangalia ishu ya nauli naomba niambie maeneo hiyo stationary ilipo
 
Au naomba nitumie namba yako nikucheki hewani tuongee vizuri
 
Husika kichwa hapo Nina Dada yangu umri miaka 20 anatafuta kazi yakuuza Duka au yoyote inayoeleweka ni mwaminifu na mdhamini nipo mwenyewe yupo maeneo ya Dar. Mawasiliano 0713791233.

Anaweza Kuuza Grocery??
 
Hapana grocery hawezi kuuza Mkuu coz ni binti mwenye imani ya dini yaani ni mlokole .@ Erickjr
 
Nadhani ni mawasiliani MC sio msabato isipokuwa Kwa hali ilivyo sasa anaweza piga kazi siku zote bila kujali jumapili lkn kama utaipigia tutaongea vizuri
 
anaweza kuuza sokoni?maana mishahara ya sokoni si sawa na dukani. Ni pale mawasiliano Sim 2000.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom