natafuta kazi ya kununua/kutoa pesa

natafuta kazi ya kununua/kutoa pesa

Beautifullgirl

Senior Member
Joined
Feb 28, 2013
Posts
100
Reaction score
15
Hi kwa wote,natafuta kazi ya kununua maana saivi bila kununua hakuna kazi na nikizingatia mwaka mzima natafuta bila kupata.so nipo tayari kutoa pesa ili nipate kazi,kwaanae fahamu watu wa hvo au kama wewe ni muhusika naomba uni PM nitakutafuta,usiseme kwa nini hii pesa siifanyii biashara mpaka nihonge hii yote ni kwasababu mimi sihitaji kua mfanyabiashara nahitaji kuajiria.nawasilisha
 
kuwa makini wengi ni matapeli ila ni bora ukawa mjasiriamali than kuajiriwa saiv sio inshu hata kidogo
 
duuuh utakua wakishua wewe...dah ila unaweza kutapeliwa hasa ukizingatia ua a beautiful girl...
 
.........Subiri kwanza nimchek jamaa yangu kwenye simu kama anapatikana kisha nitakuunganisha nae umpe huo mchongo, yeye yupo makao makuu ya TAKUKURU, nitakutumia namba yake ya simu anazo kazi za kununua.
 
K ,sema sh ww shngap and tunapeana pesa kwa njia gan and nifanye nikuamin and niaminishe napataje hyo kaz kwa asilimia ngap na shahid ye2 nan na ukivunja mashart nikufanyaje
 
Ok asante ila angalia usije kuniingiza kuzimu maana hyo takukuru kwa heruf kubwa kuna ulakin apo
 
Hi kwa wote,natafuta kazi ya kununua maana saivi bila kununua hakuna kazi na nikizingatia mwaka mzima natafuta bila kupata.so nipo tayari kutoa pesa ili nipate kazi,kwaanae fahamu watu wa hvo au kama wewe ni muhusika naomba uni PM nitakutafuta,usiseme kwa nini hii pesa siifanyii biashara mpaka nihonge hii yote ni kwasababu mimi sihitaji kua mfanyabiashara nahitaji kuajiria.nawasilisha
badili mawazo ya kuajiriwa jiajiri utaikumbuka hiyo hela utakayotoa juzi juzi kuna mtu katapeliwa laki nane kwa mambo ya kununua kazi hao watu walimdanganya wapo tanapa na aliyempa namba ni rafiki yake wa karibu. Wewe humjui hata mtu nakuonea huruma sana
 
Uwiii nimegairi bac sitaki tenaa
 
Back
Top Bottom