Natafuta kazi ya kundisha.

CLASSCAL

New Member
May 3, 2011
4
0
Mimi ni mwanafunzi wa chuo huria cha TZ,nasoma kozi ya education mwaka wa pili sasa,nasoma somo la ECONOMICS.Niko tayari kufanya kazi ya kufundisha somo hilo shule yoyote ya sekondari nchini,kwa mawasiliano zaidi 0765-990940
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom