Natafuta kazi ya kulisha mifugo, niko Kigamboni

Uyo anayesema hapendi kuajirawa na mwanamke hana akili utakuta hao ndio wanakufa umasikini usidharau job penda unachopata mwisho wa siku inakuwa busnes we vp mie hapa sichagui kazi naweza nikafanya yeyote hata ya kuzoa mavi bcz of salary au kama kuna mtu yeyeto anatafut mfanyakazi hata ya house maid naweza zote ni pm 0685816103 kazi kwenu wadau wa Jf
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom