Mkuu Kama bado unahitaji waweza pitia uzi wa somebody "maigo majigo"anatafuta mtu wa kuuza duka la dawa aliyesomea nursing na mwenye uzoefu , hivo unaweza ukamfaaNatafuta kazi ya kuuza duka la dawa baridi ninauzoefu wa miaka 5 nimesoma nurse assistance napatikana Dar. Niko seriously.