angelitha BAF
Member
- Jul 20, 2017
- 10
- 4
Mimi ni msichana wa umri wa miaka 19 nahitaji kaz ya kujitolea Nimemaliza kidato cha sita
0677730575
Sent using Jamii Forums mobile app
0677730575
Sent using Jamii Forums mobile app
Pitia huu uziMimi ni msichana wa umri wa miaka 19 nahitaji kaz ya kujitolea Nimemaliza kidato cha sita
0677730575
Sent using Jamii Forums mobile app
Asantekuna kazi ya kulisha mifugo, mshahara elfu themanini kwa mwezi - chakula cha mchana unapata shambani huko huko. Shamba lipo mbali na mjini ni km 35 approx, unashauriwa kuhamia huko huko ili kubana matumizi ya nauli. Chakula / Malazi yanapatikana shambani. Uwe flexible maana kazi zinaweza kuangukia Jpili kwa wiki nyingine.
Mkuu vipi hiyo kazi nimekupm...unaweza nisaidiakuna kazi ya kulisha mifugo, mshahara elfu themanini kwa mwezi - chakula cha mchana unapata shambani huko huko. Shamba lipo mbali na mjini ni km 35 approx, unashauriwa kuhamia huko huko ili kubana matumizi ya nauli. Chakula / Malazi yanapatikana shambani. Uwe flexible maana kazi zinaweza kuangukia Jpili kwa wiki nyingine.