Natafuta kazi ya kujitolea kama secretary reception au assistant admin

Natafuta kazi yenye maslahi nipo serikalini mshahara mdogo elimu yangu masters of Development policy ....
 
kujitolea means bure?
umesomea nini?
unafahamu kutumia program zipi za computers?
 
Najua umeshajaribu kuweka nyama kidogo kwenye tangazo lako lakini haitosho. Nadhani ungeweka vitu muhimu.sana.
Mfano: "Wadau mimi nina diploma ya........na uzoefu mdogo wa.miezi kadhaa katika fani ya sekritari. Hata hivyo kwa sasa ningependa kupata ofisi nitakapojitolea kufanya kazi zihusianazo na usekritari. Hii ni pamoja na kuchapa (tuping) kudesign kadi, kuweka na kupanga program nzuri za ofisi, kuweka ratiba ya ofisi vizuri, kuwahudumia.wateja.........nk.
Nina ujuzi.mzuri tu wa kutumia komputa ikihusisha program za ABC, DEF,GHI na PSS.....nk.Niko tayari kujitolea kwa angalua miezi 12. Napatika Dar kama kuna swali au mashaka yoyote nipo tayari kufafanua zaidi au unaweza pia kuni PM . Ahsanteni kwa ushirikiano wenu........."
Nadani ukiweka maelezo namna.hiyo inatoa picha ya.usiriasi wako,utayari.na weledi pia katika kupata.unachotaka. Kila.la kheri
 
Back
Top Bottom