Natafuta kazi ya kufundisha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta kazi ya kufundisha

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by liomaps, Jul 11, 2011.

 1. l

  liomaps Member

  #1
  Jul 11, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  jamani natafuta kazi ya kufundisha.nimegraduate mwezi ulopita,nimesoma BEDARTS(bachelor of arts in education)Teaching subject  ni GEOGRAPHY.niko compitent kufundisha level yoyote kuanzia nursery hadi chuo(diploma).naombeni msaada kwa yeyote mwenye kujua.asanteni sana.
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Hivi nyie c huwa mnaajiriwa na serikar direct au utaratbu ukoje?
   
Loading...