Natafuta kazi ya kufundisha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta kazi ya kufundisha

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by liomaps, Jul 11, 2011.

 1. l

  liomaps Member

  #1
  Jul 11, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  jamani natafuta kazi ya kufundisha.nimegraduate mwezi ulopita,nimesoma BEDARTS(bachelor of arts in education)Teaching subject ni GEOGRAPHY.niko compitent kufundisha level yoyote tuanzia nursery hadi chuo(diploma).naombeni msaada kwa yeyote mwenye kujua.asanteni sana.
   
 2. k

  kazobe Member

  #2
  Jul 14, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka unapatikana wapi
   
 3. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Njoo huku kwe2,wilaya ya kasulu,kijiji cha msalu kuna shule ya kata haina teacher hata m1..
   
 4. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2011
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Shule za private zipo nyingi.Nenda na documents zako.
   
Loading...