bea alonzo
Member
- Dec 15, 2016
- 96
- 28
Kulima kunachoshaWw tayar ni msomi, mbeya Kuna fursa za ardhi yenye rutuba. Anza kilimo kwa mtaji mdogo, tumia taaluma yako kujiajiri
Kula vyeti vyako sasa..... Tatzo la ajira ni mtambuka na liko dunia nzima. Serikali haiwez ku absorb school leavers wote. Tengeneza fursa mwenyewe. Sekta binafs ndio inayoendeleza nchi. Watumishi wa Serikali wanachukua pesa (mishahara) ambayo hutokana na mapato (tozo na kodi) kutoka Sekta binafs.....Kulima kunachosha
Kalime na wewe!Ww tayar ni msomi, mbeya Kuna fursa za ardhi yenye rutuba. Anza kilimo kwa mtaji mdogo, tumia taaluma yako kujiajiri
Kaomba ajira nikampa option. Sasa hawez kulima, na amesoma economics atapanga uchumi wa nani wakati yy ni mzembe wa kuona fursa......? Narudia dunia ya sasa hv hakuna kusubr angalia palipoharibika, tengeneza. Kodi inahtajka, soon tutaanza kumdai mkopo ili wengne wasomeKalime na wewe!
Sio kila mtu lazma alime
Ww lama usote sanaa unaona mavyeti yako dili sanaaaKalime na wewe!
Sio kila mtu lazma alime
Ww lazma usote sanaa unaona mavyeti yako dili sanaaa
A ahsante mkuu lkn sio rahisi km unavyodhan wkt n naisubilia ajira nilitaka nipate sehemu yakujishikizaWw tayar ni msomi, mbeya Kuna fursa za ardhi yenye rutuba. Anza kilimo kwa mtaji mdogo, tumia taaluma yako kujiajiri
Ahsante mkuuKula vyeti vyako sasa..... Tatzo la ajira ni mtambuka na liko dunia nzima. Serikali haiwez ku absorb school leavers wote. Tengeneza fursa mwenyewe. Sekta binafs ndio inayoendeleza nchi. Watumishi wa Serikali wanachukua pesa (mishahara) ambayo hutokana na mapato (tozo na kodi) kutoka Sekta binafs.....
uwe unajibu kibusara na kiakili kama mleta mada alivo uliza unaona kabisa kakwambia anacho tafuta ww unamwambia akalime unamaanisha nn? pengine katokea familia ya wakulima na hakuna mafanikio yoyote katika kilimo wanacho fanya ? usijibu thread kwa kukurupuka fuata mtoa post anataka nn angekua anataka kilimo angesha FanyaKula vyeti vyako sasa..... Tatzo la ajira ni mtambuka na liko dunia nzima. Serikali haiwez ku absorb school leavers wote. Tengeneza fursa mwenyewe. Sekta binafs ndio inayoendeleza nchi. Watumishi wa Serikali wanachukua pesa (mishahara) ambayo hutokana na mapato (tozo na kodi) kutoka Sekta binafs.....
Anza wewWw tayar ni msomi, mbeya Kuna fursa za ardhi yenye rutuba. Anza kilimo kwa mtaji mdogo, tumia taaluma yako kujiajiri
Ngoja nije Pm mkuuKuna kazi za kufundisha Dar lakini...
AHSANTE SANAnimeona jinsi ulivyo na busara
mungu atakusaidia
naomba hizi baraka zikufikie popote ulipo alonzo
Nmemaliza mwaka 2016 Na zoez Iina wahusu wa mwaka 2015Mbona serikali juzi imewataka walimu wa masomo ya sayansi kupeleka vyeti kwaajili ya uhakiki na kuajiriwa.. wewe hukusikia hilo tangazo? zoezi limekwisha tarehe 16 nadhani.. walimu wa diploma na degree
Kazi rahisi zaidi ni kufanya engine kiuno basi.Kulima kunachosha
Ata ungekuwa umemaliza mwaka 2015 like zoezi halikuhusu,kijana wewe sio mwalimu wa mathematics coz hujasomea kufundisha hilo somoNmemaliza mwaka 2016 Na zoez Iina wahusu wa mwaka 2015
Wee leta dharau tuu unafikir ww ndo wa kwanza kugraduatewakulima buaaana..
we kama hauna vyeti
hilo ni tatizo lako...!!!!