Natafuta kazi ya kufundisha

bea alonzo

Member
Dec 15, 2016
96
28
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 27 nimemaliza chuo kikuu nina degree ya uchumi (bachelor of economics) pamajo na nina stashahada ya juu ya elimu (post graduate diploma education teaching subject ni mathematics,economics, pamoja Na commerce) naweza kufundisha masomo ya hesabu,economics, commerce. Nipo tayar kufanya kaz sehemu yoyote. Mm nipo mbeya
Mawasiliano yangu ni 0712171827
 
Ww tayar ni msomi, mbeya Kuna fursa za ardhi yenye rutuba. Anza kilimo kwa mtaji mdogo, tumia taaluma yako kujiajiri
 
Kulima kunachosha
Kula vyeti vyako sasa..... Tatzo la ajira ni mtambuka na liko dunia nzima. Serikali haiwez ku absorb school leavers wote. Tengeneza fursa mwenyewe. Sekta binafs ndio inayoendeleza nchi. Watumishi wa Serikali wanachukua pesa (mishahara) ambayo hutokana na mapato (tozo na kodi) kutoka Sekta binafs.....
 
Kalime na wewe!
Sio kila mtu lazma alime
Kaomba ajira nikampa option. Sasa hawez kulima, na amesoma economics atapanga uchumi wa nani wakati yy ni mzembe wa kuona fursa......? Narudia dunia ya sasa hv hakuna kusubr angalia palipoharibika, tengeneza. Kodi inahtajka, soon tutaanza kumdai mkopo ili wengne wasome
 
Kula vyeti vyako sasa..... Tatzo la ajira ni mtambuka na liko dunia nzima. Serikali haiwez ku absorb school leavers wote. Tengeneza fursa mwenyewe. Sekta binafs ndio inayoendeleza nchi. Watumishi wa Serikali wanachukua pesa (mishahara) ambayo hutokana na mapato (tozo na kodi) kutoka Sekta binafs.....
Ahsante mkuu
 
uwe unajibu kibusara na kiakili kama mleta mada alivo uliza unaona kabisa kakwambia anacho tafuta ww unamwambia akalime unamaanisha nn? pengine katokea familia ya wakulima na hakuna mafanikio yoyote katika kilimo wanacho fanya ? usijibu thread kwa kukurupuka fuata mtoa post anataka nn angekua anataka kilimo angesha Fanya
 
Mbona serikali juzi imewataka walimu wa masomo ya sayansi kupeleka vyeti kwaajili ya uhakiki na kuajiriwa.. wewe hukusikia hilo tangazo? zoezi limekwisha tarehe 16 nadhani.. walimu wa diploma na degree
Nmemaliza mwaka 2016 Na zoez Iina wahusu wa mwaka 2015
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom