Natafuta kazi ya kufundisha physics na hesabu.

Zero_and_One

Member
Joined
Jun 4, 2019
Posts
43
Reaction score
92
Natafuta kazi ya kufundisha physics na hesabu mkoani Dodoma ili niweze kupata hela ya kulipa ada ya chuo kwani sina wazazi.
Natarajia mwezi wa kumi na moja Mungu akipenda kuweza kuendelea na masomo yangu lakini swala la hela naona ndo kikwazo kwangu ,nimekuwa nikichanga lakini bado hela niliyonayo ni ndogo.Na sipo teyali kwenda kuomba kwa ndugu au mtu yoyote.
Matokeo yangu ya O-level nina PHYSICS - B , CHEMISTRY - B , BASIC MATHEMATICS - B,BIOLOGY-B,GEOGRAPHY-B, ENGLISH- B n.k. (nilibahatika kupata division one).
A-LEVEL nimepata: PHYSICS - D and MATHEMATICS - D (Maisha yapa kidogo yalikuwa magumu both inside the school and outside the school ) .
NIPO TEYALI KUFUNDISHA KIDATO CHA 1 MPAKA CHA 4 KWA MASOMO YA PHYSICS NA BASIC MATHEMATICS.
Nina ujuzi wa ziada kuhusu computer programming and Web.
Nataka kuanza kusoma DIPLOMA na ndoto ya kuwa Engineer ingawa sifa za degree ninazo.

Na imani naweza kupata msaada. Sijaandika kuomba hela.
 
Kama ungeweza kufika dar Kuna tuition center wanakuchukua na wangekulipa vzr tuu
 
Pakufikia siotatizo sana maana wengi wanakuja na hatimye kinaeleweka
 
Natafuta kazi ya kufundisha physics na hesabu mkoani Dodoma ili niweze kupata hela ya kulipa ada ya chuo kwani sina wazazi.
Natarajia mwezi wa kumi na moja Mungu akipenda kuweza kuendelea na masomo yangu lakini swala la hela naona ndo kikwazo kwangu ,nimekuwa nikichanga lakini bado hela niliyonayo ni ndogo.Na sipo teyali kwenda kuomba kwa ndugu au mtu yoyote.
Matokeo yangu ya O-level nina PHYSICS - B , CHEMISTRY - B , BASIC MATHEMATICS - B,BIOLOGY-B,GEOGRAPHY-B, ENGLISH- B n.k. (nilibahatika kupata division one).
A-LEVEL nimepata: PHYSICS - D and MATHEMATICS - D (Maisha yapa kidogo yalikuwa magumu both inside the school and outside the school ) .
NIPO TEYALI KUFUNDISHA KIDATO CHA 1 MPAKA CHA 4 KWA MASOMO YA PHYSICS NA BASIC MATHEMATICS.
Nina ujuzi wa ziada kuhusu computer programming and Web.
Nataka kuanza kusoma DIPLOMA na ndoto ya kuwa Engineer ingawa sifa za degree ninazo.

Na imani naweza kupata msaada. Sijaandika kuomba hela.
Umemaliza mwaka gani mkuu
 
Back
Top Bottom