baraka clemence
Senior Member
- Sep 18, 2016
- 137
- 66
Natafuta kazi yakufundisha kwamasomo ya phyisics chemistry na mathematics nipo mkoa wa mbeya ni form six nae taraji kwenda chuo mwez wakumi but niko free kwa kipindi hiki nina uzoefu wa kufundisha miezi mitano kokote itakopatikana ajira ntafika