Natafuta kazi ya IT

Natafuta kazi ya IT

Salumu juma

New Member
Joined
Feb 11, 2013
Posts
1
Reaction score
0
Mimi ni mwana jamii mwenzenu nimemaliza bachelor ya IT mwaka 2012 mpaka sasa sijapata kazi so nilikuwa naomba mnisaidie wana jamii wenzangu.
 
Dah m2 wang it itabidi uvumilie maana hapo kazi ipo pia kupata kazi za namna hiyo kwa xaxa na bila kazi maisha yatakuwa magumu.
 
Mimi ni mwana jamii mwenzenu nimemaliza bachelor ya IT mwaka 2012 mpaka sasa sijapata kazi so nilikuwa naomba mnisaidie wana jamii wenzangu.

Ni upepo tu! Utapita.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kaka vumilia tu,mimi mwenyewe nimaliza 2011 mpaka sas sijapata kazi. pia kuomba sna mungu kunatakiwa
 
Mimi ni mwana jamii mwenzenu nimemaliza bachelor ya IT mwaka 2012 mpaka sasa sijapata kazi so nilikuwa naomba mnisaidie wana jamii wenzangu.

Hivi kwanini kipindi mnatafuta hizo ajira mnazotaka msiende kwenye vyuo hadi vya VETA mkafundishe mpate chochote?
 
bachelor of IT still unasaka job?navyojua mimi kwakoz ya IT haukutaiiwa kuwa na mawazo kabisa ya kuajiriwa zaidi ya kujiajiri mwenyewe,rudi katika somo lako la entrepreneurship kajifunze upya...niabu wenzako mbona tunasurvive na cert tunapigadili kushinda walio ajiriwa..!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom