T TikTok2020 JF-Expert Member Joined Oct 20, 2022 Posts 1,814 Reaction score 3,155 Feb 23, 2023 #1 Habari wanajamvi Natafuta kazi ya HR Administrator ninaishi Dar es salaam lakini kazi popote. Nawasilisha. Asanteni
Habari wanajamvi Natafuta kazi ya HR Administrator ninaishi Dar es salaam lakini kazi popote. Nawasilisha. Asanteni
Basi Nenda JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 20,789 Reaction score 47,988 Feb 23, 2023 #2 All the best, labda utapata, sisi pia tumesoma hiyo course kupata kazi ngumu sana
G Gozibati JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 216 Reaction score 402 Feb 23, 2023 #3 Jaribu hiyo mkuu utanipa mrejesho
T TikTok2020 JF-Expert Member Joined Oct 20, 2022 Posts 1,814 Reaction score 3,155 Feb 23, 2023 Thread starter #4 Gozibati said: Jaribu hiyo mkuu utanipa mrejesho View attachment 2527764 Click to expand... Asante sana Ila ni female not male
Gozibati said: Jaribu hiyo mkuu utanipa mrejesho View attachment 2527764 Click to expand... Asante sana Ila ni female not male
T TikTok2020 JF-Expert Member Joined Oct 20, 2022 Posts 1,814 Reaction score 3,155 Feb 23, 2023 Thread starter #5 Basi Nenda said: All the best, labda utapata, sisi pia tumesoma hiyo course kupata kazi ngumu sana Click to expand... Thanks
Basi Nenda said: All the best, labda utapata, sisi pia tumesoma hiyo course kupata kazi ngumu sana Click to expand... Thanks
G Gozibati JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 216 Reaction score 402 Feb 23, 2023 #6 TikTok2020 said: Asante sana Ila ni female not male Click to expand... Ooh! Polee mkuu
Basi Nenda JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 20,789 Reaction score 47,988 Feb 23, 2023 #7 Gozibati said: Jaribu hiyo mkuu utanipa mrejesho View attachment 2527764 Click to expand... Saa tatu hii naweza mpigia ?
Gozibati said: Jaribu hiyo mkuu utanipa mrejesho View attachment 2527764 Click to expand... Saa tatu hii naweza mpigia ?
mbarika JF-Expert Member Joined Apr 1, 2015 Posts 7,258 Reaction score 9,729 Feb 23, 2023 #8 TikTok2020 said: Thanks Click to expand... Hivi kwa nn HR wengi ni wanoko sana??
Anigrain JF-Expert Member Joined Nov 15, 2020 Posts 1,698 Reaction score 4,284 Feb 24, 2023 #9 mbarika said: Hivi kwa nn HR wengi ni wanoko sana?? Click to expand... Kwa sababu wengi wao wanapata kazi kwa ugumu sana na wengi ni kupitia misaada ya kujuana sasa ili kulinda ugali wake anaamua kuwa CHAWA NB: Jibu sio rasmi
mbarika said: Hivi kwa nn HR wengi ni wanoko sana?? Click to expand... Kwa sababu wengi wao wanapata kazi kwa ugumu sana na wengi ni kupitia misaada ya kujuana sasa ili kulinda ugali wake anaamua kuwa CHAWA NB: Jibu sio rasmi
KIDTVTC Senior Member Joined Jan 8, 2019 Posts 190 Reaction score 36 May 15, 2023 #10 TikTok2020 said: Habari wanajamvi Natafuta kazi ya HR Administrator ninaishi Dar es salaam lakini kazi popote. Nawasilisha. Asanteni Click to expand... TUWASILIANE 0754469894
TikTok2020 said: Habari wanajamvi Natafuta kazi ya HR Administrator ninaishi Dar es salaam lakini kazi popote. Nawasilisha. Asanteni Click to expand... TUWASILIANE 0754469894
Champion number one JF-Expert Member Joined Dec 17, 2022 Posts 1,516 Reaction score 3,822 May 15, 2023 #11 KIDTVTC said: TUWASILIANE 0754469894 Click to expand... Nakucheki whatup mkuu.
KIDTVTC Senior Member Joined Jan 8, 2019 Posts 190 Reaction score 36 Feb 9, 2024 #12 TikTok2020 said: Habari wanajamvi Natafuta kazi ya HR Administrator ninaishi Dar es salaam lakini kazi popote. Nawasilisha. Asanteni Click to expand... tUWASILIANE 0717157640
TikTok2020 said: Habari wanajamvi Natafuta kazi ya HR Administrator ninaishi Dar es salaam lakini kazi popote. Nawasilisha. Asanteni Click to expand... tUWASILIANE 0717157640