Imanijoseph
Member
- Sep 27, 2016
- 10
- 0
Mimi ni kijana mwaminifu na mchapa kazi naomba kazi ya uhouse boy nipo Dar na nipo tayari kufanya kazi kwa muda wowote
Kweli au unazingua house boy una sim ya internet si bora uiuze uanze biashara?Mimi ni kijana mwaminifu na mchapa kazi naomba kazi ya uhouse boy nipo Dar na nipo tayari kufanya kazi kwa muda wowote
Utakula wake zetuMimi ni kijana mwaminifu na mchapa kazi naomba kazi ya uhouse boy nipo Dar na nipo tayari kufanya kazi kwa muda wowote
Biashara siyo hobby yangu mm nataka kufanya kazi za ndaniKweli au unazingua house boy una sim ya internet si bora uiuze uanze biashara?
wewe kijana wewe kuna mdada kajifungua juzi anaitaji mtu wa kulea mtotoHahahahaha siwezi kabisaaa tena kama itawezekana nataka nifanye kazi kwa mwanaume asiyekua na mke
Mmmmh tena hiyo ndo nzuri maana napend sana kulea watotowewe kijana wewe kuna mdada kajifungua juzi anaitaji mtu wa kulea mtoto
Amesema anataka mwanaume aliye singlewewe kijana wewe kuna mdada kajifungua juzi anaitaji mtu wa kulea mtoto
Mimi ni kijana mwaminifu na mchapa kazi naomba kazi ya uhouse boy nipo Dar na nipo tayari kufanya kazi kwa muda wowote
PoaTuswasiliane
Anakata nyasi huku anapiga selfie pics boy wa mwendokasi[emoji23] [emoji23]Nilikuwa natafuta kijana wakutunza nyasi. Lakini kwa cv yako nahisi utanisambaratishia familia.
Yani house boy uko jamiiforum na unajua adi kuanzisha thread?????
Tumezoea ambao ata jina lao hajui andika.
Nitashukuru kama utaamua kunisaidia kwa hilo piaNinamtafuta muuza duka, ila wewe mmmhhh ninamashaka kidogo, huna shida ya fedha una hitaji lingine tu